NAIBU Kadhi Mkuu wa Zanzibar, Shekhe Hassan Othman Ngwali amesema wameanza kutoa elimu kwa wanandoa.
zaidi ya miaka 8 iliyopita
VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kufahamu kwamba Mapinduzi ya mwaka 1964 ndiyo yaliyomkomboa mwananchi wa Zanzibar na sio uhuru wa Desemba 1963.
KIKUNDI cha Uhifadhi Misitu Kazamoyo (UMIKA) kilichopo kijiji cha Kazamoyo, wilayani Nanyumbu, Mtwara chenye ekari za miti 800, kimepata Sh milioni 48. Fedha hizo zimetolewa na wafadhili wa mazingira wa shirika la Swiss Aid la Uswisi.
MKUU wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, Ernest Kahindi, amewataka wazazi kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha watoto wao kupenda masomo.
UONGOZI wa Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi VETA Morogoro (MVTTC), umetakiwa kuwafuatilia wahitimu wake ili kutathimini utendaji wao wa kazi na kuboresha mbinu za ufundishaji ili kutoa mafunzo yanayolingana na mabadiliko yanayotokea katika soko la ajira.
WATANZANIA wametakiwa kujali na kuwalea watoto wenye ulemavu wa akili, ambao hawapewi kipaumbele katika jamii na kuonekana hawana msaada wowote na hawana thamani jambo ambalo si sahihi.
ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude, amesema ,kupanda kwa gharama za umeme kwa asilimia zaidi ya 40 kuanzia Januari 2014 , si habari nzuri hata kidogo.
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti akiwa na kete 17 tumboni kati ya 24 zinazodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya wakitokea mjini Tunduma, mkoani Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam.
HALMASHAURI ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma inatarajia kuuza viwanja 3,000 kwa ajili ya makazi.
WATU wawili wamekufa maji jijini Dar es Salaam katika Sikukuu ya Krismasi akiwemo mtalii kutoka China aliyekufa wakati akiogelea na wenzake katika Hoteli ya Golden Tullip jijini Dar es Salaam.