VIONGOZI wanaokabidhiwa nyadhifa mbalimbali za uongozi nchini, wametakiwa kutenda uadilifu kwa wananchi kwa ajili ya kukuza uchumi na kuleta maendeleo.
zaidi ya miaka 8 iliyopita
SHIRIKA la misaada la Action Aid limetoa msaada wa vifaa mbali mbali, ikiwemo kompyuta kwa Jeshi la Polisi Mahonda Mkoa wa Kaskazini.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohamed Gharib Bilali ameutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA), kuhakikisha chuo hicho kinatoa wataalamu wenye sifa na uwezo katika fani mbalimbali, ikiwemo za utafiti.
VYAMA vya Wafugaji wa Asili vimemuomba Rais Jakaya Kikwete kuangalia kwa makini baadhi ya watu wanaotaka kuharibu mchakato wa mapendekezo ya wawakilishi kwenye Bunge Maalumu la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
MKUTANO mkuu wa wanahisa wa watumia maji Kiliwater, umeagiza watu binafsi na taasisi za serikali, ikiwemo Jeshi la Polisi na Magereza kulipa madeni yao yanayofikia zaidi ya Sh milioni 20, kutokana na kuwa kikwazo cha kudhoofisha huduma ya maji wilayani Rombo.
JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.
MAHAKAMA ya Rufani Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Amnus Athanus aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, atolewe gerezani.
HALMASHAURI ya Wilaya ya Muleba imenunua trekta lenye thamani ya Sh mil.43 na kulikabidhi kwa vijana wa wilaya hiyo. Trekta hilo litatumika kuanzisha mashamba ya kilimo cha mazao mbalimbali ili kujiajiri na kuacha utegemezi.
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam Kitengo cha Kompyuta (UCC) kimezindua teknolojia ya Smart Board, ambayo itasaidia kukabiliana na changamoto zinazowakabili wafanyabiashara pamoja na upungufu wa walimu.
ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Geita, Damian Dallu, amekemea vuguvugu la watu wanaotaka kuirejesha Tanganyika katika siasa za Muungano.