KOCHA Mkuu wa Mexico, Miguel Herrera amemshauri Javier Hernandez kuihama Manchester United ili kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza.
zaidi ya miaka 8 iliyopita
TIMU ya vijana ya soka ya Que Bac ya Mbagala Kipati, Dar es Salaam imeibuka bingwa wa michuano ya Kombe la Mbagala kwa kuilaza Kipati mabao 2-0.
KLABU ya Yanga imesogeza mbele kwa siku moja safari yake ya Pemba kutokana na msiba wa dereva wao, Maulid Kiula uliotokea usiku wa kuamkia jana.
TIMU ya soka ya Jimbo la Kitope imeendelea kupokea kichapo katika mashindano ya Kombe la Majimbo baada ya juzi kufungwa mabao 2-1 na Jimbo la Dole.
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, wamependekeza suala la haki za wasanii liwepo katika Rasimu ya Katiba Mpya.
KOCHA mpya wa Simba, Patrick Phiri ametua jana Dar es Salaam na kuahidi kurudisha heshima ya Simba.
MABINGWA wa soka wa Zanzibar, KMKM leo wanatupa karata muhimu katika Kombe la Kagame.
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania cha mpira wa mikono cha wanawake kimeondoka jana Zanzibar kwenda Uganda katika mashindano ya Kanda ya Tano ya Afrika Mashariki na Kati yatakayoanza kesho.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema halitambui mabadiliko ya uongozi ndani ya Coastal Union yanayodaiwa kufanywa na mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika hivi karibuni.
FAINALI za mashindano ya mchezo wa baiskeli kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa inatarajiwa kuanza Agosti 23, mwaka huu wilayani Kahama katika Mkoa wa Shinyanga na kushirikisha wachezaji 170.