KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo amesema Ligi Kuu msimu ujao itakuwa ni ngumu na yenye ushindani mkubwa.
zaidi ya miaka 8 iliyopita
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amewataka wachezaji wa timu hiyo kuwa na umoja na kuimarisha zaidi upendo kati yao.
KMKM ya Zanzibar imeaga michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji, Rayon Sport kwenye Uwanja wa Nyamirambo mjini hapa.
TIMU ya Ndanda FC jana ilikabidhiwa msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Kampuni ya Gesi ya BG Tanzania iliyopo mkoani Mtwara ikiwa ni maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi amesema nchi haiwezi kupata vazi la Taifa nje ya Kiswahili kwani mila na desturi zinatakiwa kuongoza katika kupata vazi hilo.
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC wametinga kwa kishindo katika robo fainali ya Kombe la Kagame baada ya kuitandika Adama City ya Ethiopia mabao 4-1 jana mjini Kigali, Rwanda.
KOCHA Msaidizi wa JKT Ruvu, Azishi Kondo amesema wana kazi kubwa ya kutengeneza kikosi ambacho kitacheza ligi ya ushindani msimu ujao.
MREMBO Maria Shila usiku wa kuamkia jana, alitawazwa Malkia wa Kanda ya Kinondoni mwaka huu baada ya kunyakua taji hilo katika shindano la Redd’s Miss Kinondoni 2014.
MAKOCHA wa timu za baiskeli, judo, kuogelea na riadha hawajawasilisha ripoti zao za kuvurunda Michezo ya 20 ya Jumuiya ya Madola iliyomalizika hivi karibuni Glasgow, Scotland.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuboresha zaidi Ligi Kuu ili kuimarisha kiwango cha soka nchini.