AJALI zinazotokana na matukio ya moto na maji, zinazowahusu watoto zimekuwa zikiripotiwa kila siku huku nyingi kati ya hizo, zikichangia kupoteza maisha ya watoto wasio na hatia na sauti kujitetea.
zaidi ya miaka 8 iliyopita
WAKUU wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa wako katika Mkutano wa mafunzo ya siku tatu ambao ulifunguliwa rasmi juzi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS Jakaya Kikwete yuko ziarani mkoani Ruvuma.
DAR ES SALAAM ni miongoni mwa miji barani Afrika, iliyosheheni kumbi mbalimbali za starehe, hasa nyakati za usiku, maarufu kama klabu za usiku.
TANZANIA mwaka huu itakuwa mwenyeji wa Michezo ya Shule za Sekondari ya Afrika Mashariki (Feasssa) itakayofanyika mwezi ujao jijini Dar es Salaam.
NIANZE kwa kupongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuondokana na kero ya foleni hasa maeneo ya mijini, hasa Dar es Salaam.
NIMEJIULIZA ni nini kimewakera wanafunzi na baadhi ya wazazi wa Kata ya Lusaka katika Halmashauri ya Sumbawanga mkoani Rukwa hadi wakalitaka Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo litunge sheria ndogo za kuwacharaza viboko wazazi wanaowanyima mahitaji ya shule watoto wao?
LEO Waumini wa dini ya Kiislamu wanaungana na Waislamu wengine duniani, kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, ambayo ni ishara ya kuhitimishwa kwa Mfungo Mtukufu wa Ramadhani.
HERI ya Sikukuu ya Idd el Fitr! Nawapongeza ndugu zangu Waislamu kwa kumaliza salama Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
AWAMU ya pili ya Bunge Maalumu la Katiba, inatarajia kuanza wiki ijayo kwa ajili ya kukamilisha moja ya hatua muhimu za mchakato wa kupata Katiba mpya.