WAJASIRIAMALI wilayani Kibaha mkoani Pwani wamemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuwatafutia masoko ya bidhaa kwenye masoko ya kimataifa ambayo yamezikubali bidhaa za asili kutoka Tanzania.
zaidi ya miaka 5 iliyopita
WANACHAMA wa Chama cha Ushirika Akiba na Mikopo Kinole, wilaya ya Morogoro, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete, kusaidia vyama vya Ushirika kupunguziwa asilimia 30 ya kodi ya mapato inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
WIZARA ya Nishati na Madini imesema kuwa iko katika mchakato wa kutekeleza Sheria ya Madini kwa vitendo kwa kuhakikisha inawanyang’anya wachimbaji wote waliojilundikia leseni za uchimbaji kwa kipindi kirefu bila kuzifanyia kazi.
WANAWAKE wametakiwa kubadilisha mfumo wa kufanya biashara kwa kuweka kumbukumbu na akiba ili kuboresha biashara zao na kuwasaidia wakati wa matatizo.
WAFANYABIASHARA ndogo wa Manispaa ya Dodoma wameunda shirikisho linalojumuisha wanaofanya shughuli zao katika masoko ya Sarafina, Rehema Nchimbi, Bonanza na Soko Kuu la Majengo.
WIZARA ya Nishati na Madini imewaondoa wasiwasi Watanzania kuwa madini yanayochimbwa katika migodi mbalimbali nchini, hayaibwi na wawekezaji wakubwa kama inavyodhaniwa.
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kujenga kituo maalumu cha kuuza na kununua madini ya vito jambo lililotajwa litachangia kuyaongeza thamani.
TANZANIA imekuwa ikipoteza tani 18 za dhahabu kila mwaka, zenye thamani ya zaidi ya Sh trilioni moja, kutokana na ujanja wa wawekezaji katika uchimbaji wa madini.
KATIBU Mkuu wa Nishati na Madini, Eliakim Maswi, amemuagiza Kamishna wa Madini nchini, Paul Masanja, kufuatilia kwa kina na kutengua msamaha wa kodi kwa kampuni kubwa tatu za uchimbaji madini mkoani Mbeya, ili zilipe maduhuli stahiki ya Serikali.