MFUKO wa Rais (PTF) Kanda ya Morogoro umeshindwa kutoa mikopo kwa wajasiriamali pamoja na Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos) kwa kipindi cha miaka miwili kutokana na baadhi kushindwa kurejesha mikopo.
zaidi ya miaka 7 iliyopita
JUMLA ya wakulima wa karafuu 35 waliokopa fedha katika Shirika la Taifa la Biashara (ZSTC) kuimarisha zao hilo, mali zao zipo hatarini kunadiwa.
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom, imerekebisha mfumo wa huduma ya M-Pesa kwa soko la Afrika Kusini.
ZAIDI ya wakulima 800 wa Kanda ya Kati wamejiandikisha kupatiwa mikopo ya matrekta kwa ajili ya kuendesha kilimo cha kisasa.
WAFANYABIASHARA wametakiwa kutowauzia wakulima pembejeo za kilimo kwa gharama kubwa kwa kuwa Serikali imeondoa ushuru kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa mazao kwa tija.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa viongozi na wataalamu, kuhakikisha kuwa matokeo ya tafiti zinazofanywa, zinawafikia walengwa kwa muda mwafaka ili matokeo hayo yaweze kuleta manufaa yaliyokusudiwa. Alitoa wito huo juzi alipozindua Wiki ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane).
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetia saini makubaliano ya mkopo wa Sh bilioni 100 na kampuni ya kusambaza mafuta ya jijini Dar es Salaam ya Star Oils katika mpango mkakati wa kuendeleza sekta ya mafuta nchini.
KAMPUNI SBC watengenezaji wa vinywaji baridi, imezindua soda aina ya Mirinda Green Apple.
SOKO la Pamoja kati ya nchi za Amerika na Tanzania (Agoa), halitumiwi ipasavyo kutokana wajasiriamali kwa zaidi ya miaka mitano sasa.
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limebainisha kuwa kuanzia Julai mwaka huu, Serikali imepata mapato ya Sh bilioni 424.9 na kuokoa zaidi ya Sh trilioni 10.025, kupitia matumizi ya gesi asilia iliyogunduliwa nchini.