WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaonya wadau wa kilimo cha pamba katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kwamba waache wivu, badala yake wamsaidie mkulima wa zao hilo ili aweze kuwa mshindani kwa nchi zinazolima pamba.
zaidi ya miaka 7 iliyopita
BENKI ya Twiga Bancorp, inatarajia kujitanua zaidi kwa kufungua tawi la sita kabla ya mwishoni mwa mwaka huu Kigamboni, Dar es Salaam.
SERIKALI ina mpango wa kuanzisha utaratibu wa kufuatilia magari yanayopeleka mizigo nje ya nchi kwa njia ya kielektroniki.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda kesho Jumatano atafungua mkutano mkubwa unaohusisha wabunifu na wazalishaji kutoka nchi 10 za Afrika.
BARAZA la Taifa la Biashara (TNBC) limewataka watendaji wa halmashauri zilizopo katika Mkoa wa Iringa, kuimarisha mazingira ya uwekezaji kuwavutia wawekezaji wengi wa ndani na nje ya nchi.
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesisitiza umuhimu wa uhusiano wa kiabishara na uwekezaji kunufaisha jamii husika na inayozunguka.
SERIKALI imesema kwamba huenda lengo la kuzalisha zaidi ya kilo milioni 280 za pamba kwa msimu wa mwaka huu lisifikiwe. Kauli hiyo ilitolewa katika viwanja vya Bunge jana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi.
TANZANIA inatarajia kuzalisha wastani wa tani 150,000 za kahawa katika miaka mitano ijayo, na hivyo kuongeza mapato ya fedha za kigeni.
IMEELEZWA kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini hayo.
UONGOZI wa Awamu ya Nne chini ya Rais Benjamin Mkapa, umetajwa kwamba ndio uliojenga msingi wa uanzishwaji wa viwanda vya ndani nchini kupitia mfumo wa kodi.